Katika kuboresha kuboresha taarifa, maoni ya maoni, kero na changamoto za wananchi, Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Kalambo imeboresha huduma zake kwa njia ya kidijitali ili kuwawezesha wananchi kupata huduma kwa urahisi zaidi popote walipo.
Sasa, iwe uko mbali na ofisi au karibu lakini huna nafasi ya kufika moja kwa moja, unaweza na Ofisi ya Mbunge na kupata huduma kupitia mtandao.
Tunawaalika wananchi wote kutembelea tovuti ya Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Kalambo kupitia ifuatayo:
Ndani ya tovuti utapata fursa ya kufungua App ya Mbunge Kalambo na kutumia kwenye simu yako ili uweze kupata kwa taarifa mbalimbali, matangazo, shughuli za maendeleo, pamoja na kuwasilisha maoni, kero na changamoto zako kwa urahisi.
Usikose fursa hii ya kufika Ofisi ya Mbunge kwa njia ya kidijitali.
IMETOLEWA NA:
Musa Frackison Mzopola
Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Kalambo

