KUHUSU SISI
Karibu MBUNGEKALAMBO.COM, tovuti ya Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Kalambo inayolenga kuwafikishia wananchi taarifa, habari, shughuli na maendeleo ya Jimbo la Kalambo.
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Kalambo
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Kalambo inalenga kuimarisha mawasiliano, uwazi na ushirikishwaji wa wananchi katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya Jimbo.
Kupitia MBUNGEKALAMBO.COM, wananchi na wadau wanaweza kupata taarifa kuhusu shughuli za Mbunge, maendeleo ya Jimbo, habari, picha, video na taarifa nyingine muhimu.
UONGOZI WA OFISI
Viongozi wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Kalambo
Mhe. Edefonsi Joackim Kanoni
Mbunge wa Jimbo la Kalambo
Mkoa wa Rukwa
TIMU YA OFISI
Watendaji wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Kalambo
Ndugu Musa Frackison Mzopola
Katibu Mkuu
Ndugu Joshua Chole
Katibu Msaidizi
Dhamira
Kutoa taarifa sahihi, za kuaminika na kwa wakati kuhusu shughuli, miradi ya maendeleo, huduma kwa wananchi na kazi za Ofisi ya Mbunge Jimbo la Kalambo.
Dira
Kuwa jukwaa bora la kidijitali katika kutoa taarifa, kuimarisha mawasiliano na kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika maendeleo ya Jimbo la Kalambo.
🕒 SAA ZA KAZI ZA OFISI
Ofisi inapatikana kwa huduma wakati wa siku za kazi:
Jumatatu – Ijumaa Saa 3:00 Asubuhi – Saa 10:00 JioniKwa mawasiliano nje ya muda huo, unaweza kutumia njia za mawasiliano zinazopatikana kwenye tovuti.
WASILIANA NA OFISI
Kwa taarifa, maoni, ushauri au mawasiliano na Ofisi ya Mbunge Jimbo la Kalambo.
📞 PIGA SIMU 💬 WHATSAPP ✉️ EMAIL