Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira mpya kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha Nne wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:-
SIFA ZA WAOMBAJI
RECRUIT CONSTABLE (ASKARI MWANAFUNZI)
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa na mwenye asili ya Tanzania.
b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa na mwenye asili ya Tanzania.
c) Awe amehitimu kidato cha nne mwaka 2024 au 2025 na kidato cha sita mwaka 2025 au 2026.
d) Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
e) Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I–IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
f) Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I–III).
g) Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.
h) Awe na urefu usiopungua futi tano na inchi sita (5’6”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.
i) Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
j) Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
k) Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.
l) Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto/watoto.
m) Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya za aina yoyote.
n) Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.
o) Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.
p) Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.
q) Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili.
r) Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).
s) Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.
t) Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8), Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NVA level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo.
JANITA KONSTEBO/KONSTEBO MPIGA BURUJI
Awe na sifa zote tajwa hapo juu pamoja na sifa za ziada kama ifuatavyo:
(i) Awe na umri wa miaka 18.
(ii) Awe amehitimu kidato cha nne mwaka 2025.
(iii) Awe na ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wenye alama (Points) 26 hadi 28.
(iv) Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya kupiga buruji na janita.
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
1. Waombaji wote wafanye maombi yao kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi (TANZANIA POLICE FORCE – RECRUITMENT PORTAL) unaopatikana kwenye tovuti ya Jeshi la Polisi www.polisi.go.tz. Maombi yoyote yatakayowasilishwa kwa njia ya posta, barua pepe (email) au kwa mkono hayatapokelewa. Waombaji watatakiwa kuwa na nyaraka zifuatazo wakati wa kuomba kwenye mfumo;
i. Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).
ii. Awe na ‘’index number”’za kidato cha sita na nne ambazo atajaza kwenye mfumo wa ajira.
iii. Awe na barua ya maombi ya ajira iliyoandikwa kwa mkono kwa anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA bila kusahau namba za simu ikiwa kwenye mfumo wa Pdf.
iv. Kwa wenye elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada awe na jina la chuo alichosoma, namba ya usajili na mwaka wa kumaliza chuo.
v. Awe na namba ya utambulisho wa Makazi (NaPA number) kutoka kwa Afisa Mtendaji wa kata. Aidha, mnakumbushwa kwa waombaji wenye elimu ya Kidato cha Sita na Nne, wilaya watakapochukulia NaPA namba ndipo atakapofanyia usaili.
2. Kila mwombaji anakumbushwa kutunza jina analotumia (Username) na nywila (Password) kwani majibu yote kuhusiana na maombi yake ya kazi yatatumwa kwenye akaunti yake.
3. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/11/2026.
Imetolewa na:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,
S.L.P 961,
DODOMA.
20/11/2026.
---
FANI ZINAZOTAKIWA KWA KILA NGAZI YA ELIMU
TANZANIA BARA
SHAHADA
1. ANAESTHESIA
2. ANIMAL SCIENCE
3. ARTS IN LANGUAGE (ARABIC, FRENCH, CHINESE, PORTUGESE, TURKISH)
4. AUTOMOBILE ENGINEERING
5. BIOMEDICAL ENGINEERING
6. CIVIL ENGINEERING
7. COMMERCE IN AUDITING AND FORENSIC ACCOUNTING
8. CYBER SECURITY
9. CYBER SECURITY AND DIGITAL FORENSIC
10. DEVELOPMENT FINANCE AND INVESTMENT PLANNING
11. DOCTOR OF DENTAL SURGERY
12. DOCTOR OF MEDICINE
13. EDUCATION WITH SPECIAL NEEDS (SIGN LANGUAGE, SPECIALIZED IN VISUAL IMPAIRMENT (BLINDNESS), HEARING IMPAIRMENT, SPECIALIZED IN SPEECH IMPAIRMENT)
14. ELECTRICAL ENGINEERING
15. ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING
16. FREIGHT CLEARING AND FOWARDING
17. INFORMATION SYSTEM MANAGEMENT (DATABASE ADMNISTRATOR)
18. INFORMATION TECHNOLOGY
19. LAW ENFORCEMENT
20. MARINE ENGINEERING
21. MARITIME LAW
22. MARITIME TRANSPORT AND NAUTICAL SCIENCE
23. MECHANICAL ENGINEERING
24. MECHATRONICS ENGINERING
25. MICROBIOLOGY
26. MIDWIFERY
27. MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION
28. NETWORK ENGINEERING
29. NURSING
30. PHYSICAL EDUCATION AND SPORT SCIENCES
31. PHYSIOTHERAPY
32. POLITICAL SCIENCE
33. PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT
34. PSYCHOLOGY AND COUNSELLING
35. QUANTITY SURVEYING
36. RADIOLOGY
37. RANGE MANAGEMENT
38. SCIENCE IN ECONOMICS (ECONOMIC POLICY AND PLANNING)
39. SHIPPING AND LOGISTICS MANAGEMENT
40. SOCIAL WORK
41. SOCIOLOGY
42. SOFTWARE ENGINEERING
43. THEATRE AND FILM
44. URBAN AND REGIONAL PLANNING
45. VETERINARY MEDICINE
STASHAHADA
1. ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION
2. AUTOMOBILE ENGINEERING
3. AUTOMOTIVE AND AUTOELECTRICAL ENGINEERING
4. CLINICAL DENTISTRY
5. EDUCATION WITH SPECIAL NEEDS (SIGN LANGUAGE, SPECIALIZED IN VISUAL IMPAIRMENT (BLINDNESS), HEARING IMPAIRMENT, SPECIALIZED IN SPEECH IMPAIRMENT)
6. ELECTRICAL ENGINEERING
7. ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING
8. FREIGHT CLEARING AND FOWARDING
9. GENERAL AGRICULTURE
10. INFORMATION TECHNOLOGY
11. JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION
12. MARINE ENGINEERING
13. MARITIME TRANSPORT AND NAUTICAL SCIENCE
14. MASTER FISHERMAN
15. MECHANICAL ENGINEERING
16. MECHATRONICS ENGINERING
17. MULTIMEDIA DESIGN AND DEVELOPMENT
18. MUSIC AND SOUND PRODUCTION
19. NURSING
20. OPTOMETRY
21. PERFORMING AND VISUAL ARTS
22. PHYSIOTHERAPY
23. PSYCHOLOGY AND COUNSELLING
24. RADIOLOGY
25. RECORDS AND ARCHIVE MANAGEMENT
26. SIGN LANGUAGE INTERPRETATION
27. SOCIAL WORK
28. SOCIOLOGY
29. VETERINARY LABORATORY
ASTASHAHADA
1. ALLUMINIUM AND FABRICATION
2. AUTOBODY REPAIR AND PAINTING
3. AUTOBODY REPAIR AND REFINISHING/AUTOMOTIVE UPHOLSTERY AND INTERIOR DESIGN
4. AUTOELECTRICAL ENGINEERING
5. AUTOMOBILE ENGINEERING
6. AUTOMOTIVE ELECTRICAL AND AIR CONDITIONING
7. CARPENTRY AND JOINERY
8. DIVING (SCUBA DIVING)
9. DIVINITY
10. EMBROIDERY
11. ISLAMIC KNOWLWDGE
12. MANDATORY COURSE
13. MARINE ENGINEERING
14. MARINE ENGINEERING AND REFRIGERATION
15. MARITIME TRANSPORT AND NAUTICAL SCIENCE
16. MASONRY AND BRICKLAYING
17. MASTER FISHERMAN
18. MECHANICAL ENGINEERING
19. MECHATRONICS ENGINEERING
20. MOTOR VEHICLE MECHANICS
21. MUSIC AND SOUND PRODUCTION
22. PERFORMING AND VISUAL ARTS
23. PLUMBING AND PIPE FITTING
24. RATING FORMING PART OF ENGINEERING WATCH
25. REFRIGERATION AND AIR CONDITION
26. SEWING MACHINE MAINTAINANCE
27. SIGN WRITING
28. TAILORING
29. TRUCKS MECHANICS
30. WELDING AND METAL FABRICATION
---
ZANZIBAR
SHAHADA
1. BANKING AND FINANCE
2. COMPUTER SCIENCE
3. DOCTOR OF MEDICINE
4. EDUCATION WITH SPECIAL NEEDS (SIGN LANGUAGE, SPECIALIZED IN VISUAL IMPAIRMENT (BLINDNESS), HEARING IMPAIRMENT, SPECIALIZED IN SPEECH IMPAIRMENT)
5. HUMAN RESOURCE MANAGEMENT
6. JOURNALISM AND BROADCASTING
7. MEDICAL LABORATORY SCIENCE
8. NETWORK ENGINEERING
9. NURSING
10. PHYSICAL EDUCATION AND SPORT SCIENCES
11. PSYCHOLOGY AND COUNSELLING
12. RADIOLOGY
13. SOCIAL WORK
14. SOCIOLOGY
STASHAHADA
1. ANAESTHESIA
2. ANIMAL HEALTH PRODUCTION
3. CIVIL ENGINEERING
4. CLINICAL DENTISTRY
5. EDUCATION WITH SPECIAL NEEDS (SIGN LANGUAGE, SPECIALIZED IN VISUAL IMPAIRMENT (BLINDNESS), HEARING IMPAIRMENT, SPECIALIZED IN SPEECH IMPAIRMENT)
6. ELECTRICAL AND ELECTRONICS ENGINEERING
7. ELECTRICAL ENGINEERING
8. HOSPITALITY AND TOURISM
9. INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY
10. INTERNATIONAL RELATIONS
11. NETWORK ENGINEERING
12. NURSING AND MIDWIFERY
13. PHYSICAL EDUCATION
14. PSYCHOLOGY AND COUNSELLING
15. RECORDS AND ARCHIVES MANAGEMENT
16. SIGN LANGUAGE INTERPRETATION
17. SOCIAL WORK
18. SOCIOLOGY
ASTASHAHADA
1. BOAT PAINTING
2. CARPENTRY AND JOINERY
3. DIVING (SCUBA DIVING)
4. FILM PRODUCTION
5. MOTOR VEHICLE MECHANICS
6. PAINTING AND SIGN WRITING
7. PLUMBING AND PIPE FITTINGS
8. RATING FORMING PART OF ENGINEERING WATCH
9. REFRIGERATION AND AIR CONDITION
10. SEWING MACHINE MAINTAINANCE
11. TAILORING
---
MWISHO WA TANGAZO RASMI LA JESHI LA POLISI TANZANIA.
OFISI YA MBUNGE JIMBO LA KALAMBO
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Kalambo, chini ya uongozi wa Mhe. Edefonsi Joackim Kanoni, inawahamasisha vijana wote wa Kalambo wenye sifa kujitokeza kwa wingi na kutumia fursa hii kwa kutuma maombi yao ndani ya muda uliopangwa.
IMETOLEWA NA:
MUSA FRACKISON MZOPOLA
Katibu wa Mbunge Jimbo la Kalambo.


💬 Toa Maoni Kuhusu Habari Hii
Umemaliza kusoma habari hii? Tupe maoni, mtazamo au swali lako hapa chini.
Comments
Post a Comment